Psalms 147:16-17

16 aAnatandaza theluji kama sufu
na kutawanya umande kama majivu.
17 bHuvurumisha mvua yake ya mawe kama changarawe.
Ni nani awezaye kustahimili ukali wa baridi yake?
Copyright information for SwhNEN